Posts

Showing posts with the label Siasa

NEWS

**Exploring Zanzibar: The Intriguing Isle with a Touch of Merriment.

Image
 Welcome to Zanzibar, an island paradise that appears as though it's been plucked from the pages of a fairy tale. Situated off the coast of Tanzania, Zanzibar offers more than just breathtaking beaches and crystal-clear waters. It's a place where history, enigma, and a touch of whimsy converge in a tropical concoction. Prepare yourself as we delve into some entertaining, enigmatic, and downright eccentric facts about this captivating destination! 1. The Spice Island: Beyond Aroma Zanzibar is commonly referred to as the "Spice Island"due to its extensive history of spice cultivation. However, did you realize that the island’s spice trade has resulted in some culinary peculiarities? For example, locals have been known to incorporate cloves into their coffee—yes, cloves! While it may sound peculiar, it provides an aromatic punch that could potentially convert you into a spice aficionado. Just refrain from requesting a clove-infused latte at your neighborhood café—unless ...

Safari ya ajabu ya miaka 61 ya wanasayansi kutengeneza moyo bandia

Image
Kuanzia chini ya miji mpaka kwenda Mwezini, mafanikio ya uhandisi ya wanadamu ni ya ajabu. Lakini kwa nini kutengeneza moyo wa bandia kumethibitika kuwa vigumu zaidi kuliko ilivyotarajiwa Mnamo 1962, John F. Kennedy aliwapa changamoto Jumuiya ya wanasayansi watafute namna ya kumpeleka mtu mwezini na kumrudisha salama duniani mwishoni mwa muongo huo.   Mnamo mwaka wa 1964, daktari wa upasuaji wa moyo na mishipa Michael DeBakey alimshawishi Rais Lyndon B. Johnson kufadhili mpango wa kutengeneza moyo bandia wa kwanza unaoweza kufanya kazi, akianzisha mbio za kwend akufanikiwa kufanya hivyo kabla ya mtu kufika mwezini. Mnamo mwaka 1969 malengo yote mawili yalionekana kufikiwa, na Taasisi ya Moyo ya Texas iliweza kuweka moyo wa kwanza wa bandia miezi mitatu tu kabla ya kuzinduliwa kwa Apollo 11 ( safari ya mwezini). Hapo awali, moyo wa bandia ulikuwa na lengo la kuwa mbadala wa moyo halisi unaoshindwa kufanya kazi. Hii ilikuwa hatua kubwa kufikia. Ilikuwa vigumu kuona jinsi moyo bandia ...

Marufuku kuweka midoli yenye nguo hizo ZNZ, DC Anena “Vijana wanaona visivyostahiki”

Image
Mkuu wa Wilaya ya Mjini Magharibi Unguja, Rashid Simai Msaraka amepiga marufuku Wafanyabiashara wa Wilaya hiyo kuweka midoli yenye nguo zisizo za staha nje ya maduka yao. DC Msaraka ametoa kauli hiyo baada ya kukutana na Mfanyabiashara maeneo ya Kwahani Zanzibar akiwa ameweka midoli hiyo nje ya duka ikiwa imevalishwa nguo ambazo zinadaiwa kupotosha maadili ya Zanzibar hususani kwa Watoto pindi wanapoona midoli hiyo imevishwa nguo hizo. DC Msaraka amesema kuwa maarufuku hiyo imetokana na Watoto na Vijana kuona vitu visivyo na staha na kupelekea kuvuraga akili za Vijana wa Zanzibar .. . ”Hatuwakatazi kuwa na midoli hiyo wala hatuwakatazi kufanya biashara hizo ila biashara hizo zifanywe ndani na zisiwekwe nje, Mtu anayetaka kuvaa nguo hizo avae mwenyewe anajua utaratibu gani wa kuzivaa na wapi”-

Vitabu 16 vyapigwa marufuku kutumika Shuleni na taasisi za Elimu

Image
  Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia  Profesa Adolf Mkenda  kwa Mamlaka aliyopewa chini ya kifungu cha 59 cha sheria ya Elimu Sura 353 amepiga marufuku matumizi ya vitabu  16  vya ziada katika Shule za umma na binafsi nchini. Vitabu vya  16  vilivyopigwa marufuku vimekutwa katika baadhi ya Shule si kama vitabu vya kiada wala ziada ambapo maudhui yake yanakinzana na mila, desturi na utamaduni wa Mtanzania na yanahatarisha ukuaji wa Wanafunzi ikiwemo vinavyofundisha mapenzi ya jinsia moja. Vitabu vilivyopingwa marufuku kutumika na kuwepo shuleni ni Diary of a Wimpy Kid, Diary of a Wimpy Kid -Rodrick Rules, Diary of Wimpy Kid – The Last Straw, Diary of Wimpy Kid-Dog Days, Diary of a Wimpy Kid The Ugly Truth, Diary of a Wimpy Kid -Cabin Fever. Vitabu vingine vilivyopigwa marufuku kutumika shuleni ni Is for TANSGENDER ( you know best who you are!), Is for LGBTQIA ( find the words that make you you) na Sex Education a Guide to life.

Kelly win in Arizona puts Dems 1 seat from Senate control

Image
Democratic Sen.   Mark Kelly won his bid for reelection Friday in the crucial swing state of Arizona, defeating Republican venture capitalist   Blake Masters to put his party one victory away from clinching   control of the chamber for the next two years of Joe Biden’s presidency. With Vice President Kamala Harris’ tiebreaking vote, Democrats can retain control of the Senate by winning either the  Nevada race , which remains too early to call, or next month’s  runoff in Georgia. Republicans now must win both those races to take the majority. The Arizona race is one of a handful of contests that Republicans targeted in their bid to take control of the 50-50 Senate. It was a test of the inroads that Kelly and other Democrats have made in a state once reliably dominated by the GOP. Kelly’s victory suggests  Democratic success in Arizona was not an aberration during Donald Trump’s presidency. The closely watched race for governor between Democrat Katie Hobbs an...

Sintofahamu bei ya vifurushi Nape aagiza watoa huduma waitwe kuhojiwa

Image
Waziri wa Mawasiliano Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape amesema wizara yake imeiagiza Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) kuwaita watoa huduma baada ya kutokea sintofahamu ya bei ya vifurushi. Spika Dk Tulia Ackson amemtaka Waziri huyo kufafanua uwepo wa utata wa bei katika vifurushi akinukuu taarifa ya mteja aliyetaka kununua kiasi cha GB 1 lakini akapata MB 800, ikiwa ni pungufu ya MB 200 ya mahitaji yake ikilinganishwa na bei iliyotangazwa. Kuhusu hilo, Nape ameliambia Bunge kuwa kila baada ya miezi mitatu, watoa huduma wanakuwa na uwezo wa kubadili gharama ya vifurushi. Hata hivyo mabadiliko hayo hutakiwa kuonekana katika ‘menyu’ ikionesha kiwango na gharama. Kilichotokea, kwa mujibu wa Waziri, ni kwamba mtoa huduma hakuhuisha taarifa katika bango [menyu]. Wizara imeiagiza TCRA iwaite watoa huduma juu ya suala hilo, ameongeza Waziri. Suala la vifurushi limeibuka bungeni, Dodoma leo wakati Mbunge wa Mkalama, Francis Mtinga akichangia hoja katika mapendekezo ya Mwongozo wa ...

Mambo yazidi kunoga kwa Kijana Majaliwa, Wabunge wamchangia michango.

Image
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana wamemchangia Tsh 5,023,000 Kijana Majaliwa Joseph, aliyesaidia kuokolewa kwa Watu 24 katika ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea katika Ziwa Victoria November 6 mwaka huu. Hoja hiyo ilianza kwa Mbunge wa Nzega vijijini, Hamis Kigwangalla ambaye alisimama na kuomba Muongozo kwa Spika, ili aelekeze Wabunge wachange Tsh 50,000 kila mmoja kutoka kwenye posho zao za siku na kumpatia Majaliwa Jackson kama ishara na alama ya kutambua mchango wake mkubwa kwa taifa Spika, Dr Tulia Ackson akitoa muongozo amesema kwa kutumia kanuni Kigwangalla alipaswa kutoa hoja, wabunge waunge mkono lakini hakufanya hivyo hivyo Spika alitoa muongozo Wahudumu kupita kwenye viti vya Wabunge kukusanya michango na baadaye akatangaza kupatikana kwa Tsh 5,023,000.

Zifahamu ajali 5 mbaya zaidi kuwahi kutokea Tanzania

Image
  Ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Bukoba, nchini Tanzania na kuua watu 19, ni moja ya ajali nyingi zinazotokea katika maeneo mbalimbali. Mkaguzi Mkuu wa Ajali za Ndege nchini humo, kutoka Wizara ya Mawasiliano na Uchukuzi, David Nyamwihura aliwahi kunukuliwa na gazeti la Mwananchi nchini Tanzania kwamba, ripoti ya ajali za ndege hapa nchini humo inabainisha kuwa tangu mwaka 1920 hadi 2013 zimewahi kutokea ajali 52 zilizosababisha vifo vya watu 196. Na idadi kubwa ya ajali hizo hutokea maeneo ya milimani. Lakini ajali ya sasa imetokea katika ziwa Victoria, mita chache kutoka uwanja wa ndege wa Bukoba, wakati ndege ya Precision Air PW 494 ikijiandaa kutua ikitokea Dar es Salaam kupitia Mwanza. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema serikali itafanya uchunguzi kubaini chanzo hasa cha ajali hiyo, iliyoibua simanzi kwa watanzania "Ajali ya ndege ya Precision Air Bukoba ilua watu 19" Pamoja na kwamba ni ajali ya ndege iliyoanguka ziwani, imekumbusha machungu ya ajali nyin...

Waziri Mkuu Majaliwa akiongoza Watanzania kuaga miili ya waliofariki katika ajali ya Ndege

Image
  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na waombolezaji waliojitokeza kuaga miili ya watu waliopata ajali katika ndege ya shirika la Precision, iliyotokea Novemba 5, 2022. Maombolezo hayo yamefanyika katika uwanja wa Kaitaba Bukoba Mkoani Kagera leo.

Rais Samia aagiza Kijana aliyeokoa Abiria kwenye ajali ya Ndege apewe nafasi kwenye Jeshi la Uokoaji

Image
Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza Kijana aliyewaokoa Watu 24 kwenye ajali ya ndege Bukoba jana atafutiwe kazi kwenye Jeshi la Uokozi. “Tukiwa hapa wakati RC anaongea na kutoa shukrani za pongezi, Rais ametupigia simu hapa na Rais ameagiza akabidhiwe kwa Waziri wa Mambo ya Ndani nae pia atafutiwe nafasi kwenye Jeshi la Uokozi ili Kijana huyu apate mafunzo zaidi wa ujasiri wake huo aingie kwenye Jeshi hilo ambalo linahitaji ujasiri aliouonesha” ——— amesema Waziri Mkuu Majaliwa

Ajali ya ndege Ziwa Victoria: Watu 19 wathibitishwa kufariki

Image
Waziri mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amefika mkoani Kagera katika eneo ajali ya ndege ilipotokea na kuahidi kuwa baada ya uchuguzi watatoa taarifa ya chanzo cha ajali hiyo. Aliongeza pia wanafatilia imekuaje hadi idadi ya watu waliokua kwenye orodha rasmi kuongezeka kutoka 43 hadi 45. Taarifa rasmi kutoka kwa mamlaka na shirika la ndege la Precision ilionesha kuwa abiria ni 43, lakini baadae ilitajwa idadi ya 45 jumla. Kwa mujibu wa Waziri mkuu Majaliwa na Mkuu wa mkoa wa Kagera Albert Chalamilawatu 19 wamefariki, na 26 waliokolewa.  ‘’Tunashukur Mungu kwa kutuokolea abiria 26, Orodha ya mwanzo ilionesha abiria 43 lakini baada ya kuwakoa 26, kule ndani tulitarajia 17 lakini tukatoa miili 19, hawa wawili wametoka wapi? bado tunachunguza hawa wawili na tutatoa taarifa zaidi’’ anasema Waziri Majaliwa. Hata hivyo zoezi la uokoaji linaendelea na kwa mujibu wa mamlaka nchini Tanzania, sasa mizigo na vifaa vingine vinaendelea kuopolewa ndani ya maji.

Bakhresa is not done yet. Here comes Azam Mobile!

Image
Azam Mobile will also provide other innovative solutions in the communication world as plans are underway to deploy the latest technologies. Dar es Salaam: Plans are underway to launch Azam mobile network throughout the country in a few months, The Citizen has learnt. Trading as Azam Telecom (T) limited, a part of the Bakhresa Group of Companies, owned by Said Salim Bakhresa, the new telecom is expected to provide affordable, superior telecommunication services in Tanzania.  Speaking today with The Citizen, Bakhresa Group Corporate Affairs Director Hussein Sufian Ally said the company will expand on the diversity of the Bakhresa group sharing the same vision to provide high quality services at very affordable rates for all Tanzanians. Among recent milestones is successful acquisition of wavelength granted to the company by TCRA.  Notably, the 2 x 5 MHZ allocation which will enable Azam Telecommunications  to provide high speed internet (popularly known...

G7:Kuchangia dola bilioni 3 kwa ajili ya elimu ya wasichana

Image
Canada imesema ina mipango ya kuchangia kiasi cha pauni bilioni 2.9 ikisaidiwa na nchi washirika wa G7 kwa ajili ya kusaidia elimu ya wasichana na wanawake walio masikini Fedha hizo zitasaidia kuhakikisha kuwa mpango wa wasichana na wanawake kupata elimu sawa na wavulana na kuwezesha fursa za kujifunza katika nchi mbalimbali duniani, Serikali ya nchi hiyo imeeleza. Tangazo hili la siku ya Jumamosi limekuja kwa kuchelewa kwa kuwa nchi washirika wakiwemo Ujerumani,Japan, Uingereza, Umoja wa Ulaya na Benki ya dunia zilikuwa zikiendelea kuchangia Mkutano wa G7 uliofanyika Quebec ni mkutano wa mwaka unaokutanisha nchi za Canada, Marekani, Uingereza, Ufaransa, Italia, Japan na Ujerumani.

Idadi ya vijana wanao ambukizwa ukimwi kwa siku Tanzania

Image
Kwa mujibu wa ripoti ya tathmini ya mazingira ya kisheria katika mwitikio wa Ukimwi iliyozinduliwa Desemba 01, 2018 katika kilele cha siku ya Ukimwi Duniani. Vijana 72 wa kike na 18 wa kiume wenye umri kati ya miaka 14 na 24 wanapata maambukizo mapya ya virusi vya Ukimwi (VVU) kila siku.  Akielezea tathmini ya ripoti hiyo leo Jumatatu Machi 12,2018 na wadau wa masuala ya Ukimwi mjini Dodoma, Mkurugenzi mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kuthibiti Ukimwi (Tacaids), Dkt. Leonard Maboko amesema tathmini hiyo ilibaini watu 81,000 nchini wanapata maambukizo mapya kwa mwaka ambayo ni sawa na wastani wa watu 225 kwa siku.  Dkt. Maboko amesema tathmini imeonyesha kati ya watu 225 wanaoambukizwa VVU kwa siku asilimia 40 ambayo ni sawa na watu 90 ni vijana kati ya miaka 14-24. Na kwenye vijana hao 90 wasichana 72 huambukizwa kwa siku huku wavulana 18 pekee ndio huambukizwa VVU.  Tathmini ya ripoti hiyo ilifanyika katika mikoa 11  ambayo ni Tabora, Katavi, Shinyanga, Mara, Dar es S...

Mamlaka ya hali ya hewa yatoa tahadhari

Image
Mamlaka ya hali ya hewa iliyopo chini ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano nchini Tanzania imewatahadharisha wananchi kuwepo kwa hali mbaya ya hewa katika maeneo ya mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi na Mtwara ndani ya saa 24 kuanzia leo.  Hayo yamebainishwa na taarifa zilizotolewa na mamlaka hiyo na kudai kutakuwepo vipindi vifupi vya mvua kubwa ambazo zinatarajiwa kunyesha katika baadhi ya maeneo ya mikoa ya Singida, Dodoma, Morogoro, Ruvuma, Njombe, Iringa, Mbeya, Songwe, Kilimanjaro, Manyara na Arusha  Mbali na hilo, TMA imesema kutakuwepo upepo mkali unaofikia kilomita 30 kwa saa kutoka Kaskazini- Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutokaa Kaskazini-Magharibi kwa Pwani ya Kusini huku hali ya bahari inatarajiwa kuwa na mawimbi makubwa kiasi. 

Tundu lissu kufanyiwa upasuaji wa 19

Image
Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu Machi 14,2018 atafanyiwa upasuaji wa 19 katika Hospitali ya Chuo Kikuu cha Leuven nchini Ubelgiji.  Upasuaji huo ni mwendelezo wa ambazo amekuwa akifanyiwa katika Hospitali ya Nairobi nchini Kenya alikokuwa amelazwa baada ya kushambuliwa kwa risasi akiwa katika makazi yake mjini Dodoma Septemba 7,2017.  Alipatiwa huduma za awali katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma.  Taarifa ya Lissu aliyoitoa jana usiku Machi 10,2018 akielezea afya yake amesema licha ya sasa kuweza kusimama bila msaada, amejuzwa na timu ya madaktari wanaomtibu kuwa kasi ya mfupa wa juu ya goti kuunga ni ndogo.  "Madaktari wangu wamesema wasipoingilia kati na kurekebisha mfupa huo itachukua muda mrefu sana kuunga," amesema.  Lissu ambaye pia ni Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) amesema madaktari wamemweleza hata mfupa huo ukiunga baada ya muda mrefu, hautaunga kwa namna utakaoondoa hatari ya kuvunjika baadaye....

The only woman in Africa is the resignation of infidelity suspicions

Image
Mauritian President Ameenah Gurib-Fakim ​​has agreed to withdraw power after being accused of using a ten-thousand-dollar bank card issued by a support agency in his personal use. The president will terminate his office after the fifty-year anniversary of his national independence next week. According to a report from Reuters, the president pleaded guilty to the mistake and claimed to have returned all the money. The presidential candidate in 2015 was the first woman to be elected in Mauritius. She was the first woman to be elected at the Marais Mauritus Museums. Prime Minister Pravind Jugnauth has told reporters that president Ameenah will post his post office and add that the nation's priority is the focus of the nation's development. However, one newspaper in the country published a confirmation of the documents that the president made for purchasing his valuable items in the UK.

Ujenzi wa bomba la mafuta kuanza mwezi Mei 2018

Image
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Nishati na Kampuni ya Total wamekubaliana kuharakisha hatua zote za awali katika Mradi wa Bomba la Mafuta kutoka Uganda hadi Hoima Tanga ili shughuli za ujenzi rasmi zianze mwezi Mei mwaka huu.  Makubaliano hayo yalifikiwa Alhamisi, Februari 1, wakati Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani alipokutana na uongozi wa juu wa kampuni hiyo wizarani Dodoma.  Aidha, makubaliano mengine yaliyofikiwa katika kikao hicho ni kuwa kazi za awali za maandalizi ya ujenzi ziwe zimekamilika ifikapo mwezi Machi mwaka huu.  “Ni lazima tuharakishe mchakato huu kama Mheshimiwa Rais Magufuli alivyoagiza. Hivyo, tumekubaliana kwamba shughuli zote za maandalizi ziwe zimekamilika ifikapo Machi mwaka huu ili kuwezesha shughuli rasmi za ujenzi wa Bomba kuanza mwezi Mei,” alifafanua Waziri Kalemani.  Vilevile, katika kikao hicho, Rais wa Kampuni ya Total sehemu ya Afrika, Guy Maurice ambaye alikuwa kiongozi wa Ujumbe huo, alibainisha nia ya kampu...

Hatua za kufuata unapopoteza kitambulisho cha Taifa

Image
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetoa maelekezo kuhusu hatua za kufuata mtu anapopoteza kitambulisho chake ili aweze kupata kitambulisho kipya.  NIDA imelazimika kutoa maelezo hayo baada ya mtumiaji mmoja wa mtandao wa kijamii kuhoji kwanini utoaji wa pasi za kusafiria za kielektroniki unakulazimu kuwa na kitambulisho cha taifa. Mtu huyo alihoji itakuwaje kwa wale watakaokuwa wamepoteza vitambulisho vyao na wanahitaji pasi za kusafiria.  NIDA wameeleza kwamba, yeyote aliyepoteza kitambulisho chake atatakiwa kutoa taarifa polisi lakini pia atalipia TZS 20,000 ambayo ni gharama ya kuweza kutengenezewa kitambulisho kingine.  “Fika kwenye ofisi yetu ya usajili Wilaya unayoishi /uliyojisajili, utapatiwa fomu kwaajili ya kupeleka polisi ili upatiwe loss report (taarifa ua upotevu), pamoja na fomu yenye namba ya akaunti kwaajili ya kufanya malipo ya TZS 20,000/= gharama za kuzalisha kitambulisho kipya.”  Aidha, NIDA wamesema baada ya kupatiwa taarifa hiyo ya ku...

Wakala wa majengo (TBA) washindwa kubomoa jengo la TANESCO

Image
Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) wameshindwa kubomoa jengo la Makao Makuu ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) lililopo eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam, ndani ya muda waliopewa na serikali kufanya hivyo.  Jumatatu wiki hii, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mwasiliano, Joseph Nyamuhanga aliiagiza TBA kuhakikisha kwamba, ifikapo Februari Mosi mwaka huu wawe wamebomoa jengo hilo. Lakini hadi jana, jengo hilo lilikuwa bado halijabomolewa.  Maagizo hayo yalipokelewa vizuri na Mkurugenzi wa Uwekezaji wa TANESCO, Khalid James ambaye aliihakikishia serikali kwamba, hadi kufika jana ambayo ni siku ya mwisho, jengo hilo lingekuwa limebomolewa.  Licha ya kuwa wakafanyakazi wa TBA wanaendelea na mchakato wa kubomoa jengo hilo, lakini hawapo katika nafasi ya kukamilisha ubomoaji huo siku za usoni.  Wakieleza sababu za kushindwa kukamilisha ubomoaji huo, TBA wamesema kuwa, changamoto kubwa ni eneo lilipo jengo hilo ambapo panafanya shughuli za ubomoaji...

ONYO LA SERIKALI KWA WANAWAKE WANAOKUZA MAUMBILE YAO

Image
DODOMA: Serikali kupitia Wizara ya Afya, Jisnia, Wazee na Watoto imewaonya wanawake wanaotumia dawa za aina mbalimbali kukuza sehemu za maumbile ya miili yao na kusema kuwa wanajiweka katika hatari kupata matatizo mbalimbali ya kiafya.  Hayo yalisemwa jana bungeni mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Afya, Dkt Faustine Ndungulile wakati wa akijibu swali katika kipindi cha maswali na majibu bungeni.  Dkt Ndungulile alikuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu, Suzan Lyimo aliyeomba maelezo kutoka serikalini kuhusu matatizo ya kiafya yanayoweza kuwapata wanawake wanaokuza baadhi ya sehemu za miili yao.  Akijibu swali hilo Naibu Waziri alisema dawa na sindano zinazotumika kukuza maumbile ya miili ya wanawake ni hatari kwa sababu zinaharibu kinga ya mwili na hivyo kushindwa kupambana na magonjwa pamoja na mionzi.  “Serikali haijaruhusu utaratibu huu na ndio sababu tunapambana kuhakikisha kuwa haturuhusu kuingizwa nchini dawa ambazo hazitakiwi,” alisema Naibu Waz...

Popular posts from this blog

"Whispers of the Savannah: The Enchanting Life of Tanzania's Hadzabe Tribe"

Hatua za kufuata unapopoteza kitambulisho cha Taifa

The Secret Guardians of Tanzania's Wild: Unearthing the Myths of Hidden Trolls