NEWS

**Exploring Zanzibar: The Intriguing Isle with a Touch of Merriment.

Image
 Welcome to Zanzibar, an island paradise that appears as though it's been plucked from the pages of a fairy tale. Situated off the coast of Tanzania, Zanzibar offers more than just breathtaking beaches and crystal-clear waters. It's a place where history, enigma, and a touch of whimsy converge in a tropical concoction. Prepare yourself as we delve into some entertaining, enigmatic, and downright eccentric facts about this captivating destination! 1. The Spice Island: Beyond Aroma Zanzibar is commonly referred to as the "Spice Island"due to its extensive history of spice cultivation. However, did you realize that the island’s spice trade has resulted in some culinary peculiarities? For example, locals have been known to incorporate cloves into their coffee—yes, cloves! While it may sound peculiar, it provides an aromatic punch that could potentially convert you into a spice aficionado. Just refrain from requesting a clove-infused latte at your neighborhood cafĂ©—unless ...

Mambo yazidi kunoga kwa Kijana Majaliwa, Wabunge wamchangia michango.


Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana wamemchangia Tsh 5,023,000 Kijana Majaliwa Joseph, aliyesaidia kuokolewa kwa Watu 24 katika ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea katika Ziwa Victoria November 6 mwaka huu.

Hoja hiyo ilianza kwa Mbunge wa Nzega vijijini, Hamis Kigwangalla ambaye alisimama na kuomba Muongozo kwa Spika, ili aelekeze Wabunge wachange Tsh 50,000 kila mmoja kutoka kwenye posho zao za siku na kumpatia Majaliwa Jackson kama ishara na alama ya kutambua mchango wake mkubwa kwa taifa

Spika, Dr Tulia Ackson akitoa muongozo amesema kwa kutumia kanuni Kigwangalla alipaswa kutoa hoja, wabunge waunge mkono lakini hakufanya hivyo hivyo Spika alitoa muongozo Wahudumu kupita kwenye viti vya Wabunge kukusanya michango na baadaye akatangaza kupatikana kwa Tsh 5,023,000.

Comments

Popular posts from this blog

ZIJUE FAIDA ZA NANASI MWILINI

Hatua za kufuata unapopoteza kitambulisho cha Taifa

RADIO AFARIKI