Posts

Showing posts with the label Burudani

NEWS

**Exploring Zanzibar: The Intriguing Isle with a Touch of Merriment.

Image
 Welcome to Zanzibar, an island paradise that appears as though it's been plucked from the pages of a fairy tale. Situated off the coast of Tanzania, Zanzibar offers more than just breathtaking beaches and crystal-clear waters. It's a place where history, enigma, and a touch of whimsy converge in a tropical concoction. Prepare yourself as we delve into some entertaining, enigmatic, and downright eccentric facts about this captivating destination! 1. The Spice Island: Beyond Aroma Zanzibar is commonly referred to as the "Spice Island"due to its extensive history of spice cultivation. However, did you realize that the island’s spice trade has resulted in some culinary peculiarities? For example, locals have been known to incorporate cloves into their coffee—yes, cloves! While it may sound peculiar, it provides an aromatic punch that could potentially convert you into a spice aficionado. Just refrain from requesting a clove-infused latte at your neighborhood cafĂ©—unless ...

Usikupite mchongo wa GSM, nunua mbili upate moja bure, haijawahi kutokea

Image
Good News  iliyonifikia ni kwamba maduka yote ya GSM yanaendelea kuwa karibu na wateja wake na time hii wamekuja na taarifa mpya kwa wateja wao wanaofanya manunuzi katika maduka yao. Ni Kwamba Kuanzia Feb 10 mpaka leo Jumapili mteja anapofika katika maduka yao ya ikiwemo  Splash, Babyshop, Max, Shoexpress, GSMsports  basi mteja atakapofanya manunuzi ya bidhaa zao zaidi ya mbili basi atapewa bure bidhaa yoyote atakayohitaji. Unachotakiwa kufanya kwasasa unatakiwa uwahi kwenye maduka yao na uweza kupata mchongo huo.

REST IN PEACE PANCHO

Image
TANZIA: MTAYARISHAJI WA MUZIKI NCHINI TANZANIA PANCHO LATINO AMEFARIKI DUNIA. Pancho Latino maarufu 'Mafia' amefariki dunia kwenye ajali ya kuzama kwenye maji wakati anaogelea kwenye kisiwa cha Mbudya, jijini Dar es Salaam Pancho alikuwa mtayarishaji wa muziki katika studio za B’ Hitz Record. Mwili wa mtayarishaji wa muziki Pancho Latino umehifadhiwa katika Hospitali ya Lugalo, Dar es Salaam kwa uchunguzi wa kifo chake.

RADIO AFARIKI

Image
Mwanamuziki wa Uganda Moses Ssekibogo, anayefahamika zaidi kwa jina la Mowzey Radio wa kundi la Goodlyfe amefariki. Bw Balaam Barugahara, ambaye ni promota, anasema kuwa Radio alifariki dunia Alhamisi majira ya saa kumi na mbili asubuhi. Radio alifariki katika hospitali ya Case mjini Kampala ambako alikuwa amelazwa baada ya kuripotiwa kupigwa hadi kupoteza fahamu kwenye kilabu cha pombe cha De Bar, kilichopo katika mji wa Entebbe wiki iliyopita. "Utawala wa hospitali ya Case wanasikitika kutangaza kifo cha Moses Ssekibogo alias Moze Radio leo tarehe 1 Februari 2018 saa kumi na mbili asubuhi," ilisoma sehemu ya taarifa iliyotolewa na Hospitali ya Case kuhusiana na kifo hicho. "Nimeelezwa juu ya kifo cha mwanamuziki Moses Ssekibogo aka Mowzey Radio. Hivi karibuni nilitoa mchango wangu kwa ajili ya matibabu yake nikitumaini kwamba atapona. Alikuwa kijana mdogo mwenye kipaji mwenye maisha mazuri ya mbeleni," Alielezea Museveni katika ujumbe wa Twitter.  ...

REST IN PEACE LEGENDARY

Image
Legendary jazz trumpeter Hugh Masekela, a leading figure in the struggle to end apartheid and "the father of South African jazz", has died aged 78. In a statement, his family said he had "passed peacefully" in Johannesburg "after a protracted and courageous battle with prostate cancer". Masekela gained global recognition with his distinctive Afro-Jazz sound and hits such as Soweto Blues. The 1977 song became synonymous with the anti-apartheid movement. In a statement , South African President Jacob Zuma said Masekela's death was "an immeasurable loss to the music industry and to the country at large". Zuma continued: "His contribution to the struggle for liberation will never be forgotten

Popular posts from this blog

"Whispers of the Savannah: The Enchanting Life of Tanzania's Hadzabe Tribe"

Hatua za kufuata unapopoteza kitambulisho cha Taifa

The Secret Guardians of Tanzania's Wild: Unearthing the Myths of Hidden Trolls