NEWS

**Exploring Zanzibar: The Intriguing Isle with a Touch of Merriment.

Image
 Welcome to Zanzibar, an island paradise that appears as though it's been plucked from the pages of a fairy tale. Situated off the coast of Tanzania, Zanzibar offers more than just breathtaking beaches and crystal-clear waters. It's a place where history, enigma, and a touch of whimsy converge in a tropical concoction. Prepare yourself as we delve into some entertaining, enigmatic, and downright eccentric facts about this captivating destination! 1. The Spice Island: Beyond Aroma Zanzibar is commonly referred to as the "Spice Island"due to its extensive history of spice cultivation. However, did you realize that the island’s spice trade has resulted in some culinary peculiarities? For example, locals have been known to incorporate cloves into their coffee—yes, cloves! While it may sound peculiar, it provides an aromatic punch that could potentially convert you into a spice aficionado. Just refrain from requesting a clove-infused latte at your neighborhood cafĂ©—unless ...

Hatua za kufuata unapopoteza kitambulisho cha Taifa


Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetoa maelekezo kuhusu hatua za kufuata mtu anapopoteza kitambulisho chake ili aweze kupata kitambulisho kipya. 

NIDA imelazimika kutoa maelezo hayo baada ya mtumiaji mmoja wa mtandao wa kijamii kuhoji kwanini utoaji wa pasi za kusafiria za kielektroniki unakulazimu kuwa na kitambulisho cha taifa. Mtu huyo alihoji itakuwaje kwa wale watakaokuwa wamepoteza vitambulisho vyao na wanahitaji pasi za kusafiria. 

NIDA wameeleza kwamba, yeyote aliyepoteza kitambulisho chake atatakiwa kutoa taarifa polisi lakini pia atalipia TZS 20,000 ambayo ni gharama ya kuweza kutengenezewa kitambulisho kingine. 

“Fika kwenye ofisi yetu ya usajili Wilaya unayoishi /uliyojisajili, utapatiwa fomu kwaajili ya kupeleka polisi ili upatiwe loss report (taarifa ua upotevu), pamoja na fomu yenye namba ya akaunti kwaajili ya kufanya malipo ya TZS 20,000/= gharama za kuzalisha kitambulisho kipya.” 

Aidha, NIDA wamesema baada ya kupatiwa taarifa hiyo ya kupotea kwa kitambulisho, ataiwasilisha katika ofisi zao kwa ajili ya kuanza mchakato wa kupatiwa kitambulisho kipya. 

“Baada ya kukamilisha malipo, utawasilisha hati ya malipo pamoja na loss report kwenye ofisi yetu ya usajili ili kuanza utaratibu wa kutengenezewa na kupatiwa kitambulisho kingine.”

Comments

Popular posts from this blog

"Whispers of the Savannah: The Enchanting Life of Tanzania's Hadzabe Tribe"

The Secret Guardians of Tanzania's Wild: Unearthing the Myths of Hidden Trolls