NEWS

**Exploring Zanzibar: The Intriguing Isle with a Touch of Merriment.

Image
 Welcome to Zanzibar, an island paradise that appears as though it's been plucked from the pages of a fairy tale. Situated off the coast of Tanzania, Zanzibar offers more than just breathtaking beaches and crystal-clear waters. It's a place where history, enigma, and a touch of whimsy converge in a tropical concoction. Prepare yourself as we delve into some entertaining, enigmatic, and downright eccentric facts about this captivating destination! 1. The Spice Island: Beyond Aroma Zanzibar is commonly referred to as the "Spice Island"due to its extensive history of spice cultivation. However, did you realize that the island’s spice trade has resulted in some culinary peculiarities? For example, locals have been known to incorporate cloves into their coffee—yes, cloves! While it may sound peculiar, it provides an aromatic punch that could potentially convert you into a spice aficionado. Just refrain from requesting a clove-infused latte at your neighborhood cafĂ©—unless ...

Idadi ya vijana wanao ambukizwa ukimwi kwa siku Tanzania

Kwa mujibu wa ripoti ya tathmini ya mazingira ya kisheria katika mwitikio wa Ukimwi iliyozinduliwa Desemba 01, 2018 katika kilele cha siku ya Ukimwi Duniani. Vijana 72 wa kike na 18 wa kiume wenye umri kati ya miaka 14 na 24 wanapata maambukizo mapya ya virusi vya Ukimwi (VVU) kila siku. 

Akielezea tathmini ya ripoti hiyo leo Jumatatu Machi 12,2018 na wadau wa masuala ya Ukimwi mjini Dodoma, Mkurugenzi mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kuthibiti Ukimwi (Tacaids), Dkt. Leonard Maboko amesema tathmini hiyo ilibaini watu 81,000 nchini wanapata maambukizo mapya kwa mwaka ambayo ni sawa na wastani wa watu 225 kwa siku. 

Dkt. Maboko amesema tathmini imeonyesha kati ya watu 225 wanaoambukizwa VVU kwa siku asilimia 40 ambayo ni sawa na watu 90 ni vijana kati ya miaka 14-24. Na kwenye vijana hao 90 wasichana 72 huambukizwa kwa siku huku wavulana 18 pekee ndio huambukizwa VVU. 

Tathmini ya ripoti hiyo ilifanyika katika mikoa 11  ambayo ni Tabora, Katavi, Shinyanga, Mara, Dar es Salaam, Pwani, Mbeya, Rukwa, Njombe, Iringa na Ruvuma wakati kwa Zanzibar ilifanyika Unguja na Pemba.

Comments

Popular posts from this blog

"Whispers of the Savannah: The Enchanting Life of Tanzania's Hadzabe Tribe"

Hatua za kufuata unapopoteza kitambulisho cha Taifa

The Secret Guardians of Tanzania's Wild: Unearthing the Myths of Hidden Trolls