NEWS

**Exploring Zanzibar: The Intriguing Isle with a Touch of Merriment.

Image
 Welcome to Zanzibar, an island paradise that appears as though it's been plucked from the pages of a fairy tale. Situated off the coast of Tanzania, Zanzibar offers more than just breathtaking beaches and crystal-clear waters. It's a place where history, enigma, and a touch of whimsy converge in a tropical concoction. Prepare yourself as we delve into some entertaining, enigmatic, and downright eccentric facts about this captivating destination! 1. The Spice Island: Beyond Aroma Zanzibar is commonly referred to as the "Spice Island"due to its extensive history of spice cultivation. However, did you realize that the island’s spice trade has resulted in some culinary peculiarities? For example, locals have been known to incorporate cloves into their coffee—yes, cloves! While it may sound peculiar, it provides an aromatic punch that could potentially convert you into a spice aficionado. Just refrain from requesting a clove-infused latte at your neighborhood cafĂ©—unless ...

ONYO LA SERIKALI KWA WANAWAKE WANAOKUZA MAUMBILE YAO


DODOMA: Serikali kupitia Wizara ya Afya, Jisnia, Wazee na Watoto imewaonya wanawake wanaotumia dawa za aina mbalimbali kukuza sehemu za maumbile ya miili yao na kusema kuwa wanajiweka katika hatari kupata matatizo mbalimbali ya kiafya. 

Hayo yalisemwa jana bungeni mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Afya, Dkt Faustine Ndungulile wakati wa akijibu swali katika kipindi cha maswali na majibu bungeni. 

Dkt Ndungulile alikuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu, Suzan Lyimo aliyeomba maelezo kutoka serikalini kuhusu matatizo ya kiafya yanayoweza kuwapata wanawake wanaokuza baadhi ya sehemu za miili yao. 

Akijibu swali hilo Naibu Waziri alisema dawa na sindano zinazotumika kukuza maumbile ya miili ya wanawake ni hatari kwa sababu zinaharibu kinga ya mwili na hivyo kushindwa kupambana na magonjwa pamoja na mionzi. 

“Serikali haijaruhusu utaratibu huu na ndio sababu tunapambana kuhakikisha kuwa haturuhusu kuingizwa nchini dawa ambazo hazitakiwi,” alisema Naibu Waziri. 

Mbunge Suzan Lyimo aliuliza swali hilo baada ya kuwapo kwa idadi kubwa ya wanawake wanaotumia dawa mbalimbali kukuza maumbile yao, ndipo akataka kujua kama serikali inafahamu jambo hilo, na imechukua hatua gani.

Comments

Popular posts from this blog

"Whispers of the Savannah: The Enchanting Life of Tanzania's Hadzabe Tribe"

Hatua za kufuata unapopoteza kitambulisho cha Taifa

The Secret Guardians of Tanzania's Wild: Unearthing the Myths of Hidden Trolls