NEWS

**Exploring Zanzibar: The Intriguing Isle with a Touch of Merriment.

Image
 Welcome to Zanzibar, an island paradise that appears as though it's been plucked from the pages of a fairy tale. Situated off the coast of Tanzania, Zanzibar offers more than just breathtaking beaches and crystal-clear waters. It's a place where history, enigma, and a touch of whimsy converge in a tropical concoction. Prepare yourself as we delve into some entertaining, enigmatic, and downright eccentric facts about this captivating destination! 1. The Spice Island: Beyond Aroma Zanzibar is commonly referred to as the "Spice Island"due to its extensive history of spice cultivation. However, did you realize that the island’s spice trade has resulted in some culinary peculiarities? For example, locals have been known to incorporate cloves into their coffee—yes, cloves! While it may sound peculiar, it provides an aromatic punch that could potentially convert you into a spice aficionado. Just refrain from requesting a clove-infused latte at your neighborhood cafĂ©—unless ...

FIFA yaonya Siasa kombe la Dunia


Shrikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu ‘FIFA’ limezionya timu zote zitakazoshiriki Kombe la Dunia nchini Qatar juu ya viashiria vyovyote katika kila vita vya kiitikadi au kisiasa vinavyoendelea katika baadhi ya mataifa.

Rais wa FIFA, Gianni Infantino na Katibu Mkuu wa shirikisho hilo, Fatma Samoura wametuma barua kwa timu hizo wakipiga vita masuala hayo.  Baadhi ya ligi kama EPL na Laliga zilizonekana zikilitetea Taifa la Ukraine.

Katika barua hiyo imeeleza kuwa imekuwa ni maendeleo ya Kombe la Dunia iliyogubikwa na wasiwasi kuhusu mateso ya wafanyakazi wahamiaji wanaolipwa mshahara mdogo, kujenga miundombinu katika Taifa dogo la Ghuba na sheria za kibaguzi zinazoharamisha mahusiano ya watu wa jinsia moja.

“Tafadhali, sasa tuzingatie soka!” Infantino na Samoura waliyaandikia mataifa 32 ya soka yatakayoshiriki Kombe la Dunia.

Comments

Popular posts from this blog

"Whispers of the Savannah: The Enchanting Life of Tanzania's Hadzabe Tribe"

Hatua za kufuata unapopoteza kitambulisho cha Taifa

The Secret Guardians of Tanzania's Wild: Unearthing the Myths of Hidden Trolls