NEWS

**Exploring Zanzibar: The Intriguing Isle with a Touch of Merriment.

Image
 Welcome to Zanzibar, an island paradise that appears as though it's been plucked from the pages of a fairy tale. Situated off the coast of Tanzania, Zanzibar offers more than just breathtaking beaches and crystal-clear waters. It's a place where history, enigma, and a touch of whimsy converge in a tropical concoction. Prepare yourself as we delve into some entertaining, enigmatic, and downright eccentric facts about this captivating destination! 1. The Spice Island: Beyond Aroma Zanzibar is commonly referred to as the "Spice Island"due to its extensive history of spice cultivation. However, did you realize that the island’s spice trade has resulted in some culinary peculiarities? For example, locals have been known to incorporate cloves into their coffee—yes, cloves! While it may sound peculiar, it provides an aromatic punch that could potentially convert you into a spice aficionado. Just refrain from requesting a clove-infused latte at your neighborhood cafĂ©—unless ...

Messi aongeza mtoto wa tatu

Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi na mkewe Antonella Roccuzzo wamefanikiwa kupata mtoto wao wa tatu wa kiume. 

Hilo amethibitisha Messi kupiia mtandao ake w Instagram kwa kuweka picha hiyo hapo chini na kuandika, “Karibu Ciro! Asante Mungu kila kitu kilikwenda kikamilifu. Mama na mtoto wote wapo salama. Tunafuraha kubwa sana!!!!! ❤❤.” 

Mtoto huyo tayari amepewa jna la Ciro ambapo anaungana na kaka zake wawili akiwemo Mateo (2) na Thiago (5). 

Wakati huo huo mpinzani wa Messi, Cristiano Ronaldo ana watoto wanne, wakiwemo wwili mapacha. 

kutokana na ujio wa mtoto huyo Messi amepewa mapumziko na timu yake hivyo hatakuwepo katika mchezo wa usiku wa leo ambao Barcelona watacheza na Malaga katika mechi ya La Liga na nafasi yake imepangwa kuchukuliwa na mchezaji Yerry Mina.

Comments

Popular posts from this blog

"Whispers of the Savannah: The Enchanting Life of Tanzania's Hadzabe Tribe"

Hatua za kufuata unapopoteza kitambulisho cha Taifa

The Secret Guardians of Tanzania's Wild: Unearthing the Myths of Hidden Trolls